2013年9月18日 星期三

Pii Pii

Pii Pii Line Dance   
Choreographed by: Niels Poulsen, DK (Oct 09)
Music: Pii Pii by Marlaw
Descriptions: 64 count - 2 wall - Beginner/Intermediate level line dance

編舞者Demo

Music (MV)

Verse 1
Ninataka niwahi kufika, nija inajam sasa wapi nitapita
Nimekaa karibia saa sita, sasa kukaa nimechoka ooh baby
Sijamwona long time now, nimerudi toka mwezi jana
Nimeshakwambia mama nimefika tangu mchana
Anajua nimeshafika, ameshapika, amekasirika
Alipika tangu mchana, ila sasa, lunch imegeuka dinner
Chorus
Nimechoka kupiga honi now (pii pii) hatuelewani (2x)
Pii pii, move out of the way, nimechoka kupoteza time
Nina siku nyingu kwenda home, I'm missing my baby
Pii pii, hello baby, natamani niwe nyumbani
Nimekwama hapa nijani kuna jam baby
Aah aah, kuna jam baby
Aah ahh, hello (3x)
Verse 2
Unanikatia simu unanionea, wewe ungekuwepo ungejionea
Unafanya hivyo unakosea mamaa
Unanikatia simu unanionea, wewe ungekuwepo ungejionea
Unafanya hivyo unakosea mamaa
Nakuomba mpenzi ungojee, ni nijani naja niombee
Nimeochoka nakuja tulee, huruma nionee
Nakuomba mpenzi ungojee, ni nijani naja niombee
Nimeochoka nakuja tulee, huruma nionee
Hook 2x
Nimechoka kungoja highway, nitapita popote mradi wee
Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani)
Chorus
Nimechoka kupiga honi now (pii pii) hatuelewani (2x)
Pii pii, move out of the way, nimechoka kupoteza time
Nina siku nyingu kwenda home, I'm missing my baby
Pii pii, hello baby, natamani niwe nyumbani
Nimekwama hapa nijani kuna jam baby
Aah aah (ooh), I love you so much
Aah aah, I love you Mamaa, ah ah ai
Hook 2x
Nimechoka kungoja highway, nitapita popote mradi wee
Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani)
2x
Pii pii, move out of the way, nimechoka kupoteza time
Nina siku nyingu kwenda home, I'm missing my baby
Pii pii, hello baby, natamani niwe nyumbani
Nimekwama hapa nijani kuna jam baby
2x
I love you so much, I love you Mama
I love you mama (2x)
My baby (6x)